Propaganda za ummy mwalimu na akili za jiwe.

Wakuu salaam.

Ukumbukwe kwa mra ya kwanza jiwe aliposema kua eti katika utawala wake hataki kusikia habari za uzazi wa mpango,alikua dar es salaam.harakaharaka ajitoa kifua mbele waziri wa afya na kufafanua kua jiwe hakumanisha alicho sema bali ulikua ni utani kwa wazalamo.

Je?,hiki alichorudia jiwe kusema juu ya uzazi wa mpango akiwa huko usukumani ni utani kwa kabila gani.

Safari hii ni utani kwa Wasambaa:cool::cool::cool:

Mkuu kumbuka tuna kicha Ikulu ambaye hastahili kuwemo Ikulu.

@Umwalimu hajatoa tens kukanusha

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw