PS3 super slim red light

My Ps3 is showing red standby light and not responding at all, what could be the problem. Saidieni ideas please

:D:D:D Ni saa godi hataki muendelee na hio sausage party mutoke kwa keja mutafute malanye

hhehehehehe wewe saidia opinion ama nijipange for ps4 navile imebeba games kama 40

Mumeicheza 50 hours nonstop? Either ime-overheat ama ni hard drive imechapa.

Finyalia and hold power button until it beeps 3 times, not sure though but google it. Hio ni ku hard reset or something. Sisi tulihamia PS4 kitambo. I gave my PS3 to some chokosh for free. By then it was not reading disks but good thing ilikuwa na games inside so chokosh alibambika

hahaha thanks it seems ata mimi nitahave kupeana after fixing ndio nigrab ps4 pro aii gharama za addiction zingine ni sweet tu

lets say hana place ya kuplay unless auze tu juu apo sasa atachezea wapi anyway u did a good thing and u should be proud :cool: hihi

Jipange basi na 500 dorras,PS5 coming in late 2020,it will support backwards compatibility with all PS4 games

Ulipeana ps3?! Heheheeeā€¦ Anyway.

Back in the day ps1 was the bomb. Siku hizo bado tulikuwa na tube tv, i used to play on a wega trinitron tv ya 14in, and it was a huge leap from nintendo. ps2 graphics zake zilikuwa marvel at the time. Mpaka ps3. By that time I could afford to buy my own consoles but the day I actually saw that thing in Sarit Centre and the price I just left bila kusema kitu. Hiyo kitu ilifika huku ikiuzwa 70k! Wacha saa hii iko 12k. Anyway, by the time I bought one desktop gaming ilikuwa imaniambukiza lakini siezi peana hiyo kitu. Ps4 inakula internet sana.

Well hio PS3 haikuwa ina read disks alafu nikaambiwa ati sijui ni laser inaweza kuwa imechomeka. Games zilikuwa hapo were only Demos downloaded from the PSN store. I never even used to play it. Bahati mzuri huyo chokosh akanitembelea na ile harakati ya kutupa macho kila mahali kejani akasema hio PS kwani hauchezangi juu iliuwa na dust and elec wires were not connected. Bahati the following week nikikuwa nanunua PS4 so ningamshow chukua hio PS3

mimi lazima nionje ps4 ata watoe 5 leo lazima niende na pace mpaka nikue na zote.ps1 ps2 ps3 now i want ps4 ps5 itatulia kwanza. na hizi xbox mbona haziko common in kenya. US naona people like them more

PS4 naona hapo skymall awa jamaa wanadai 25k hii I will take my ps3 tu fix wakisema pesa ya upus na nunua ps4 hope it can be installed games like ps3 za mia tatu :oops:

Never.Ps4 iko na maringo.Ukichip you will never update anything online.Ukijaribu inacrash

haina ile ujanja ya copying games via ethernet cable from another ps4 like backup?

Coz haina aja ya kuchip u just go to those guys wa ps wana kuokea backup zao like transferring data to a new ps4 that way unaget games ziko kwa the old kinda . just like ps3 nilikua nikitembelea mboyz ako na games kadhaa natoka mbio na kuja kuback kwa yangu heheheh

ps3 games zake hazisahauliki. mpaka wa leo zijawahi kuwa impressed na ps4. but kids seem to like hiyo console halafu they spend like all the time online with the thing playing with strangers tu. nkt. fun ya ps1 na 2 mlikuwa mnacheza live wawili nyumbani mnapeana double KO mnaheshimiana.