jiandikishe tukujue hapana rukaruka na kushutashuta na hatukujui.
Pangi saa ingine ni mpaya
Bangi pia imwagwe!
3 Likes
Just landed home, kukula kidogo nilale.
Mofayah ameshaa jisaliji tayari
Does 5am count?
Unaokota maji kwa besheni saa hii?
nanyeshewa after kumwagiliwa maji.
hehhehe
Wakenya na tu-scheme twa kula pesa za wengine na donors. soon tutaskia at “witches rights are human rights”?
:D:D:D