Pub Chronicles

Omba omba kwa pub
I write this with uttermost anger .
So Jana usiku after job sinimeamua kumeza chupa mbili b4 nihome .

My village has over 4 pubs , where we meet n catch on various topics here n there .

So Mimi huyo I park outside (ki-nduthi hehehehe , not yet blessed kuwa nabeba funguo mingi) … Talk of the devil kufungua curtains za pub niingie. Guess who are sitting near the entrance … Those mafundi wa mtaa , ni kinyanjui na mwaura … Damn this dude’s , I pretend sijawaona lakini kumbe damn madafaka washaniona …

Kusimama kwa counter, mwaura shouts my name “Mwalimu, Mwalimu MACHAA”…

I twist my head faking a smile , am sure n I suspect they are up to no good … This “parasites”…

“Tweterie jug mwalimu” … Kinyanjui shouts at me , already giving the waiter a sign language to bring a jug (ya keg) to the table I will pay …

I approach their table trying to convince them Sina any , but they will here none of it … Since m the village supplier of gas they believe m loaded …anyway it’s kshs 120 not much to make me poor … M always expecting this , though wameharibu budget … I decide to order BALOZI mbili instead of mAh usual GUiness…

I find an empty sit , hata before I glance around to admire the village whores , polisi wetu was Kijiji yani senior was AP post ndiye huyo he waves at me holding a BALOZI too … Nigga can’t a businessman drink in peace … I wave at muthoni Kia matina , the barmaid to give him a bottle … This is exploitation …thao inaelekea kukatika na si nyama choma nakula…

Guess who joins my table ? The village parrot , chege wa thabutha … He is smelling mituras …

"Mwalimu , niongezee 30 nipige kiblack " …he tells me …

Akiiiiiiii I m tired … Nitawanunulia Hadi lini ?

:smiley: si ungeishia restaurant kubwa umumunye chupa tatu na sok tatu per beer …khasia

Hizo pubs za mtaani ukienda lazima budget itaspoil.

I can totally relate. It’s like they suddenly go brike when you get in. Especially during those Christmas holidays ushago.

extortionists everywhere. wanjinga sisi

hamia karen. apa maneiba wako class ya mimi huwaga ndani. hawa ombi ombi