Punch line kwa Thermos

ukiwa barabarani ni raha ukisoma hizi punchline
nigani ushaona ikakufanya ucheke
[ATTACH=full]252077[/ATTACH]

Jana usiku gari mbili zimechomeka A109

zilichomekea maungu au kyumbi?

“Barabara sio ya mama yako”

Wewe MMNN haina hii 411

zenye niliona ni before emali na after sultan hamud

Keep distance naeza jisaidia wakati wowote
Kwa exhauster

Zile huwa kwa Ma-exhauster hunibamba sana…those writings are always funny and crude.

[ATTACH=full]252138[/ATTACH]

[ATTACH=full]252184[/ATTACH]

Kikiiii @Kihara wa Mwangi ungenagiaa iii ino nayo waruta kuu

Hapo Nyeri. Niliiona leo hapo baden powel

Usikae Nyeri sana ama utakuwa.muoga kama jamaa za huko