Punguza mizigo initiative: Gari lazima irudishe pesa

Nyar Ugenya minibus overwhelmed with heavy loads at Bungoma main stage.
[ATTACH=full]254933[/ATTACH][ATTACH=full]254934[/ATTACH][ATTACH=full]254935[/ATTACH]
@Mrs Shosho what were you saying about greed?
ona @muria.mboco amevunja spring sasa, hasara ni kwa nani

Hizo ni omena au mahindi na mukobero…

Common sense, Kisha how do operators manage without adhering to tare weight and load restrictions!

Mtu pia ukipanda hii ikiwa hivi wewe ni direct nominee wa Darwin award

You told me you are not greedy!Mimi nipewe job huko coast region.

Mzigo ni ya 20k max, repair ya gari ni 17k… Makanga na derefa lazima wajilipe, polisi bado hawajakula yao, pesa ya kiwanja odhoo…

utaweza kazi ya mgema

Wee wachana na mimi kapsaaa

Mambo ya trucks niliondokea… Sitaki kufa na ulcers

Usidharau watu…

[ATTACH=full]254958[/ATTACH]

hii hata si spring labda body imeshift au housing ya diff imekatika mwisho

Watu hawajipendi. Au hawaheshimu hustle yao.
How can one be so callous about their daily bread? Am speaking of the crew an owners of said bus.
Wako serious kweli?
Lives are lost with this kind of foolishness

bonobos hawawezi saidika

They load after all the passenger are in, that way they do not know what is happening outside