Punishment Ya Kutolewa Suruari Tukiwa Primary School Huko Ma 80s and Early 1990s

Only fossils will recall this inhumane treatment at the hands of sadistic disciplinarians. Today this type of degrading punishment would attract severe consequences to the teachers.

This punishement was used for crimes such as:

[ol]
[li]Kutomba wasichana shuleni[/li][li]Smoking. YES smoking. While in Primary school those days, boys wa STD 7 na 8 were almost 17 years old and some used to smoke[/li][/ol]

that is literally sexual assault…
[ATTACH=full]468398[/ATTACH]

We could tell some female teachers walikua wanatoa stress na sisi. yaani kumbaf jinga inakunyorosha kwa sababu umeanguka swali, that was totally uncalled for. Caning should be left to parents only

no wonder hunaga akili @Ndindu

I try to tell guys this bt wanasema ati lazima kiboko

Vile unaongea, hata saa hii unafaa kuchapwa.

I remember we had one boy in priomo, this guys who repeat all the time and hit puberty early, so tuko std 7 jamaa ama cheza na kitu kwa m fuko teacher na kimbelembele yake called the chap and told him to give her what he had in his poket jamaa refused teacher ni nani forced her hand into his pocket on to grab 7 inches of hard dick , kumbe jamaa hana ngotha ame toboa shimo kwa pocket and was playing pocket snooker in class, the teacher turned white dropped her jaw and said Okemo sit down ! Only I and a few exposed kids realized what had just happened ! Teacher was never able to look the boy in the eye I suspect alipata ni kubwa kushinda ya bwana yake !

:D:D:D:D Back in the day class 7 and 8 boys walikuwa wazee.

:smiley: Nakufa

:D:D:D:D:D Naishaa

Kuna wajinga walikua wanasema “mkiona nimevaa nguo ya red mjue iyo siku nina mood mbaya.” Ghaseer ikikuja na nguo ya red mtakula viboko sagwasagwa. I always asked myselefu whether those bitches used to wake up anaamua leo ako na mood mbaya ndio anavaa nguo ya red, ama anajipata amevaa nguo ya red anaforce hio mood mbaya the entire day. Enyewe primary school teachers hawakuwa na akili.

Nakumbuka ghaseer ingine ilinitandika kama burukenge juu sikuwa nime cover excercise book.

Unapigwa mob justice kwa sababu you inherited dumbness from your folks and can’t attain certain mark

:D:D:D.

@JostoBwaku huyu ni wewe. :D:D

:D:D:D

Kuna odijo Fulani wa GHC sijui hasira zake zilikuwa za ukoo ama nini.

Jamaa used to cane you while stepping on your neck with his left foot. Ile style unashikaga kuku ukichinja. Unakanyanga wings na miguu. Hii yote Juu eti huku underline Heading Kwa notes using a ruler.

Alikuwa anaitwa Mr. Karari, a Shiny Eye who looked like a Sudanese.

British kabisaaa

Kwani tulikuwa class moja, nikiwa primary kulikuwa na madam kama huyo, alikuwa mkamba alikuwa anakuja amemachisha na red colors ange dunga hivo hata break hatukuwa tunaenda na viboko ilikwa lazima, alikuwa an make sure we looked neat and presentable. Kucha alikuwa anacheki kila asubuhi, alikuwa anajipaka marashi huwa nikiiskia namuona tu.

Hehe, those teachers made us who we are today. Disciplined and focused.

Hakuna kitu Ilikuwa inatishia kama after kupena exercise books for marking teacher anaandika

SEE ME. With a red biro