Qsat decoder

maks

Senior Villager
#11
yep! It was quite resourceful opening supersport up until nikaget zuku! Internet ndio mwisho wa mawazo!!

Nitapea msee tu. Inakuwanga tu hapo naiona nashangaa nitafanya nini nayo sasa.
yep! It was quite resourceful opening supersport up until nikaget zuku! Internet ndio mwisho wa mawazo!!

Nitapea msee tu. Inakuwanga tu hapo naiona nashangaa nitafanya nini nayo sasa.
kuja inbox tuonge juu ya hiyo qsat
 
#14
yep! It was quite resourceful opening supersport up until nikaget zuku! Internet ndio mwisho wa mawazo!!

Nitapea msee tu. Inakuwanga tu hapo naiona nashangaa nitafanya nini nayo sasa.
Some times i find the conveniency of fta outdoing the hustles of scouring the internet to find stuff...alafu at the end of the day ill have to part with my 2k for the internet....

With fta nina ingia kwa hao kazi niku flip through the channels nikitafuta what the is good....

Ama niaje @Meria Mata
 
Touchlyrics

Village Sponsor
#17

Since when did clicking a mouse become a hustle? Hii FTA yenu Iko na like 3000 channels of which 98% is rubbish to me.

Nwy, both have pros and cons. @coldpilsner nunua tatu Leo bana, ni furahiday mzeiya.
 
maks

Senior Villager
#18
Actually sio fta only vile unafikiria, nivile uko limited in resources otherwise ile day utastream live 4k TV 2160+ Bila stress Sana Sana ball then shiklia apo mimi napenda kuona signal ikiwa 80% we we unapenda kuona speeds ikiwa mbps flani . Nisawa I have distributed Internet all over my hood but still niko tu na dish zangu.
 
maks

Senior Villager
#19
Internet you need also good gadgets a good 4k tv, good android box with serious specs , some good Internet speeds, some good malicious free sites or apps and last but not least technology is improving so some hardware updates . Dish ni Ile Ile baba decoder ni 3k alafu update software tu so kinda vile mtu anafeel ako comfortable . Mimi naweka zote Ata kama dish itakaa kama Jason -2 satellite
 
Top