queschon

ni poa kumanga neighbor kama ameiva excess?

weka chumvi itarudi ngumu

Kwani ni ikodofia?

Ask your fellow africans; i have no idea what that is

It’s a somali word you fool, which you would’ve understood if you didn’t falsely claim to be one

No it’s a terrible idea, Ukileta yengs mpya sijui utaigurumishia wapi

Manga kitu bila huruma na ukitaka kuleta mabinti nyumbani kwako walete pia.

humbwa, lakini kimeiva alafu kiko tu hivoooo.man I have an ethos but I might break it

No, achia neighbour mwenzako.

Niliomba neiba akiwa 14 akaninyima