RAIL GUARD

Kuuliza tu, hiyo rail guard iliingiaje kwa hiyo gari… that must have feen really fatal mpaka ikatokea nyuma kwa boot!!!

Tuongeeni tu kama watu wazima matusi mueke kando!!!

It isn’t the first, it also happened on the Southern bypass a few months back and split the driver’s head open.

Sijui mbona nilikuwa naona ni kama unasema Raila!
Haisuru, guka alisema rail guard za siku hizi hazilimwi chini kama mizizi. Hizi zinaachwa hanging na sign ya mabati!

mbona haikurarua gari into three ?

but how does it get there in the fisrt place ??

why??

the Benz seems that it was in a very high speed,… hata ile ya bypass was not as extreme ka ya Dr.Wahome.

they are spears not guard rails

can we see how thw spears look like cz hata the rails zinakuaga mahali zinaishia ziko zimechimbiwa kwa mchanga na gari sidhani inaeza ingia hii design na pia zinakuaga na supports kibao hakuna vile zitago through hivi

hii benz inakaa ilikua kama 200 huko

What do you mean by rail guards?

Hiyo si gari, ni Mercedes Benz!

Rail guard ni huyu [ATTACH=full]137423[/ATTACH]

Lakini these GoK mercs are always racing with the right of way tag that comes with their plates so usishangae jamaa alikua anachezea one finje+ but how mhesh got to kiss the guard rail unless tuambiwe na village experts…am sure they are already looking into it with their salt paper gloves on (bjurrman niaje)

SI TUMESEMA tuongee kama watu wazima… hizo chuma zinaitwaje basi??

tunangoja experts sana hapa

ni guardrails…
tukiwa hapo hebu pia tu-define fatal…

https://www.youtube.com/watch?v=KfoA6IuXq5s

Two months ago near Kikuyu, driver lost his life.
[ATTACH=full]137428[/ATTACH]

Sio gari, ni baiskeli?