Raila Amollo Odinga.

Baba anakaaa kijanaaa. Handshake is working :D:D:D:D
[ATTACH=full]244883[/ATTACH]

Miguu inakaa kama ametoka duff mpararoo

Baba living his best life.?

Alama ni za Canaan

That is pedicure,haijaisha nanii…

Simba anagulumishwa. Waacha Keglo waone “Baba Curse” ikifanya kazi kesho.

Hiyo joint wako na happy endings

Anawekwa ile dye ya black kuficha uzee.

Si hata Ruto awachilie nywele saa hii uone vituko.

[COLOR=rgb(204, 204, 204)]…baba aende mahali hakuna.

[ATTACH=full]244997[/ATTACH]

The other day we saw Ouru kwa kinyozi sasa Leo ni uyu

:smiley: :smiley: :smiley: