Raila na NASA wamefilisikika, najua kwanini-Uhuru

INSERTER

Village Elder
#1
Uhuru Kenyatta amedokeza kuhusu kilichoufilisisha muungano wa NASA na kuwalazimisha kuiomba michango.

Uhuru amesema kwamba muungano wa NASA umekuwa ukifadhiliwa na na pesa za wizi kutoka katika serikali ya kaunti ya Nairobi.

Ameeleza kuwa NASA hauwezi kupata nafasi kuiba tena maana Sonko ameyaziba mashimo yote yaliyotumika na Kidero kuziiba pesa za kaunti.

Rais Uhuru Kenyatta ameizindua njia mpya ya kuuvamia muungano wa NASA na kiongozi wake Raila Odinga. Kulingana na Uhuru, muungano wa NASA umekuwa ulifadhiliwa na serikali ya kaunti ya Nairobi kupitia kwa pesa za wizi.

Amesema kwamba muungano wa NASA sasa umeomba msaada wa mchango kwa maana Kidero sasa hawezi kuwaibia baada ya kupoteza kiti ugavana katika uchaguzi wa Agosti 8. Uhuru amedai kwamba muungano wa NASA ulipata zaidi ya Ksh 20 milioni kutoka kwa serikali ya kaunti ya Nairobi iliyotumika katika kampeni zake.

Muungano wa NASA uliomba msaada wa mchango ili kuzifadhili shuguli za kampeni zake kwa kuzindua nambari ya Paybill ambayo ingetumika na Wakenya kuuchangia.

Chloe

Village Elder
#2

Kwenda leta Ile mbisha Kalonzo anasema "TUMENI NUDES". #RWNEBP
 
0

0%_Omera

Guest
#4

Is Uhuru gonna see to it , the Prosecution of Kidero ? If not , He should cut the BS. Ama EACC na ODPP are independent bodies.
 
Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top