random pics and texts made from kenya by kenyans

[ATTACH=full]128304[/ATTACH]
the slay queen @GeorginaMakena
[ATTACH=full]128306[/ATTACH]
member of business community @wildfrank

[ATTACH=full]128311[/ATTACH]
:D:D charity ngilu working out

[ATTACH=full]128314[/ATTACH]

[ATTACH=full]128315[/ATTACH] [ATTACH=full]128316[/ATTACH] [ATTACH=full]128317[/ATTACH] [ATTACH=full]128318[/ATTACH] [ATTACH=full]128319[/ATTACH]

1…Hakuna kitu kinachonikera kama nalipa nauli kwenye matatu halafu kwenye mteremko dereva anaweka gari free naona kama naibiwa

2…Heri madem wangekuwa wanataga mayai badala ya kushika ball…ndio kama hamuko ready kupata mtoi mnakula kamayai kenu

3…
Hakuna kitu huniuma kama wakati sina pesa alafu

nikumbuke nyumba yangu huko mbinguni ni ya dhahabu:D:D:D

[ATTACH=full]128320[/ATTACH]

I can not where anything showing my thighs,pls dont misrepresent me this is indecent dressing, she looks like a hooker first of all what is a slay queen somebody who will slay you with diseases.Dont make me block you

[ATTACH=full]128322[/ATTACH]

[ATTACH=full]128324[/ATTACH]
de coup at elegance

[ATTACH=full]128329[/ATTACH]

[ATTACH=full]128330[/ATTACH]

i know your problem…inbox
[ATTACH=full]128332[/ATTACH]

[ATTACH=full]128333[/ATTACH] [ATTACH=full]128334[/ATTACH]

[ATTACH=full]128335[/ATTACH]

[ATTACH=full]128336[/ATTACH]
[ATTACH=full]128337[/ATTACH]

[ATTACH=full]128338[/ATTACH] [ATTACH=full]128339[/ATTACH] [ATTACH=full]128340[/ATTACH]

1…Nakumbuka life ya highskul kuandika insha ty unaenda mombasa,imgn ushafika voi na apo umeandika 150 words bado 300 more inabidi urudie kitu ulisahau nairobi

2…
Lakini mbona mtu huskia vizuri hivyo mti yake ikimwaga…yaani unaamka asubuhi unapata compound imejaa maembe unachukua yote unaenda kuuza
Kwanza ikimwaga huko ndani, unaskia poa hadi unaisha nguvu za magoti juu ya kuinama sana ukiokota iyo maembe

Ive been getting alot of requests inbox tangu niweke photo ya my ben10 ,please gay community leave me alone ,am a woman.

@GeorginaMakena https://www.kenyatalk.com/data/avatars/l/17/17425.jpg?1506510926 Money-making Mitch

[ATTACH=full]128341[/ATTACH]
[ATTACH=full]128342[/ATTACH]
[ATTACH=full]128343[/ATTACH]
[ATTACH=full]128344[/ATTACH]
1…
Aki Some Neighbours hit Pussy as if they want it to move from it’s original place…yaani mtu anagonga paka ni kama anataka ihame kwa ploti na hakuna kitu imekula…:D:D:D:D
Wee shinda hapo na akili chafu

1…
Nmekosa kitu ya kufanya nkaona kasiafu APA juu
ya meza nkamwaga sukari ndo kaonje… Sasa
nmeona kameenda kuita wenzake, nmepanguza
sukari yote ndo wakikuja wapate ni uongo
wakachape

[ATTACH=full]128348[/ATTACH] [ATTACH=full]128349[/ATTACH]
[ATTACH=full]128354[/ATTACH]

[ATTACH=full]128355[/ATTACH]

[ATTACH=full]128361[/ATTACH] [ATTACH=full]128362[/ATTACH] [ATTACH=full]128363[/ATTACH] [ATTACH=full]128364[/ATTACH]

1…
Kuna Jirani ametoka kunitusi “Paka…” tu sahizi…so nmeingia kwake kama hayuko nikakunywa maziwa yote na nikakula nyama alikua amenunua…Sahii nimetulia tu kwa sitting room yake nangojea arudi aniulize swali nimjibu “Meeeaaooow”
Sipendi kubebwa ujinga

2…
Unatusi msee ati yeye ni mjinga kichwa yake imejaa ugali kidogo kidogo hivi waluhya wana-mkidnapp:D:D:D

[ATTACH=full]128367[/ATTACH] [ATTACH=full]128368[/ATTACH]

Nani mwingine ameona @introvert kwa hii mbisha?
https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2017/09/191874_8eba577fb6230b216762b7ea5582b40e.jpg

Everybody in a matatu is dirty minded…:D:D:D

  1. Nitakupea.
  2. Atakupea mbele.
  3. Hujapewa mbele?
  4. Utapewa nyuma.
  5. Nitakupa nikikaa vizuri.
  6. Ngoja isimame nikupee.
  7. Subiri asimamishe nikupee.
  8. Hivi nilivyokaa nitakupaje?
  9. Utapewa tulia.
  10. Nikupee mara ngapi?
  11. Msimpee nimeshampea huku nyuma
  12. nimbao hadi tao?
  13. songa niingie…
    Then conda na bangi zake anasema Oya apo
    nyuma watu wapendane…

Kudos @roots… Kicheko dawa… .

[ATTACH=full]128384[/ATTACH]