Randy Randy Randy

Napenda sana effort yako ya kunukisha utunguu, keep up the great work.
shida yangu na wewe hua ni ukilipwa sato unaanzia den ya cham kisha unakwachu poko, kwani hujipendi?
@kush yule mnono come and advise our brother.
[ATTACH=full]251415[/ATTACH]

Na watu wanasema Hakuna kazi

watu ni wavivu alafu pride kwa wingi,msee haezi taka kuonekana akifanya kazi ya hali duni

Afadhali @Randy kushinda @Motokubwa
[ATTACH=full]251418[/ATTACH]

Yaaani ati afadhali kukula POKOSTE kushinda NYAMA, ayayayayaaaa:D @Randy kula mtu rare naked choke mpaka ateme mate imeshikana

Randy is an foreman

Kazi iko. employment/jobs ndio hakuna.

REAR

Kitunguu lazima inuke…:D:D:D

Wtf
Huyu randy alikuwa lini village sponsor?..:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:

Io kazi sio ya kila mtu…kuna wasee wanakujanga na hamu/syke ya kufanya job lakini jioni akitoka job hautawai muona tena.

Buda, mbona uko na mafeelings za kishenzi ivo… i personally couldn’t care less about the title you should do the same.

Buda, lazima zitafutwe.

Uyu i can guarantee ni mgeni kwa mjengo io mawe infaa kubebwa na wasee wawili… uyu by jioni atakua ameisha.

Kazi zingine siwezi fanya, acha niitwe lazy.

Hii uppercut ni chungu Sana aisee!

@Wakanyama is putting up more pigstay with kambanane from ruiru kifendera

Na kukatia wamama wa cham wa kuvaa slipers 24/7

Yenyewe kazi ni kazi lakini hapa sioni @Randy akilast long. Mimi dimanga ka hio nkibeba moja na nusu nafunga siku. Inabidi foreman anipatie niadu yangu mahali hesabu itakuwa imefikia.

For KCr 500
Dimanga =
Niadu =