Rao na Kalonzo kupigwa ten nil

[ATTACH=full]154261[/ATTACH]

hizi masweeps bana!

:D:D:D umenikumbusha janaa nimeambia msee wa mtura after kumeza mitura ’ wacha niende hii nakuom ’ nikazamia kwa bar .

mbwa hii kwani unahepa na shilingi kumi ya mutura.jinga hii

Mbona unaharibu uchumi wa raia hohehahe?
Mungu anakuona!

A photo speaks a thousand words.

[ATTACH=full]154266[/ATTACH]

Yani Ulipark BMW X6 2017 model metallic blue, kando ya jiko ya mtura , then you ordered mtura ya 5 bob . Finally ukajitoa bila kulipa???:eek::eek:

:D:D:D:D:D:D

Huo ni ufukara.
Tukutane hapo Makuti nikubuyie mtura ya soo mbili ukule ushibe @uwesmake .

Kuna mtura nilikula Limuru County Club tamu sana.

Wakanya will never be up, atabaki masiki

Wewe ni mbaya Saidi kuliko @culture mwenyewe hakulipa kuma
Meffi

Stupidity

:D:D:D:D:D:D wadau nimeomba msamaha but ni kwa local mimi hukula ntamlipa leo wadau , musinifanye vile mulifanya @culture karibu alie

You driving BMW SUV na unahepa na 5 shillings. Wewe ni bukusu ya wapi.adabu huna?

:D:D:Dsasa wewe utaona moto. hii utakuwa unakumbushwa daily. wacha aibu ndogo ndogo.

leta

na ulete effidense umelipa hio 5 bob

Ata mimi nimeshangaa.Alafu anakuja kuturingia hapa.Mimi ata nikinunua kitu,Change ibaki shilingi kumi ama twenty.Naambia mwenye kuniuzia.Keep the change.

He is like.Msaliti chameleon utajua hunijui.Endelea kuropoka tu.

Chunga sana usichonge viazi akihepa after amekununulia guarana na chips.