Real Madrid contacts Zidane.

Real Madrid have Contacted Zidane for his return next season but he has said ‘NO’, According to El Chiringuito

Digiris meffi network
ION CL tuwekelee aje?

Wekelea GG and Over 3.5, man united to win

:smiley: jinga …manuseless win uko solo

Wacha bangi.

Wekelea Ksh 100

Hope muliwekelea as instructed, have already won gg and waiting 3.5

:smiley: mimi ata nko nje mbaya zaidi…nliwekea psg kichwa…

Ghaseer, ona Sasa. Ungeweka O3.5 na GG na Manchester to win

Penalty io ov3.5 imeLand

Wewe ni mchawi meffi ya digiri …noma sana

Ghaseer, poonder hii, na mlinitusi pamoja na Ile ngombe inaitwa @hakimoto , nimeshinda zote

@Sokwe mtu from an initial investment of Ksh 400 Sasa niko na Ksh 5800, na if you followed my advice ungeshinda pia

Saitan …rusha ya kesho …europa mapema …nikague…
Lakini wewe ni meffi ya digiri …

@digi you must be a very lucky bastard…

Vipi prophet digi, nipee odds za leo

:D:D:D:Dniliwapea Jana, juzi, na bado hamuwekelei, mkisema digi amevuta bangi

Ghaseer, it’s just simple analysis, it’s not the first time I’ve won, I even thought sportpesa will ban me sometime back.

Wewe nakupatia odds, hamuwekelei na unaanza kusema digi amevuta bangi

I repent on their behalf, do the honors