Rebuttal......Economically

D

Deorro

Guest
#4
gas yangu hutoka Petrol station, wako hadi na delivery ya usiku, hapana tambua gas pima
 
M-Pesa

Village Elder
#10
It's guidelines to take precautions... No wonder we hear cases of gas explosion... Causing fires.. These things are lethal!!
True that, kuna one time nlibuy gas mtaani ilikuwa na harufu ingine funny (almost ka meffi ama kitu imeoza) hadi ilikuwa inanishtua. Ata nlikuwa naiwasha from a distance ka nmefungua mlango na dirisha, ata sikungoja iishe kabisaa nkapeleka nkabadilisha hyo chieth
 
D

Deorro

Guest
#11

gas lazima iwe na hiyo harufu mbaya ili ujue kama kuna leak otherwise utalipuka kwa keja siku moja
 
#19
True that, kuna one time nlibuy gas mtaani ilikuwa na harufu ingine funny (almost ka meffi ama kitu imeoza) hadi ilikuwa inanishtua. Ata nlikuwa naiwasha from a distance ka nmefungua mlango na dirisha, ata sikungoja iishe kabisaa nkapeleka nkabadilisha hyo chieth
These things are very dangerous.
I'm sure you even saw coloured fuel!
 
Top