• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Relatable:Law school sucks

Mshikadau

Village Elder
#1
So sem apo law school ndo inaisha isha.I gotta say it has been disappointing kukaa na my fellow comrades cuz i just cant find the type of friends we can go out,drink n talk about the good, bad n the ugly.Sijui ni vile ni mwanzo tuu ama ni vile kila mtu anajaribu kua na standards ama nini.Most of my buddies ni wale wa IT na mass comm wenye mnaeza ongea ujinga na mkose kumea bila mtu kukuuliza swali.Silalamiki lakini kama ivi ndo itakua for the next 5 yrs mambo haitakua rahisi.Alafu @femaleperspective unasafisha talkers lini
 
denis young

Village Elder
#5
Law school is a scam. What is the point of having law and apparently it is open to interpretation. How is it kuna good lawyers and bad lawyers. Mtachomwa na shetani personally huko hell.
 
Koolibah

Village Sponsor
#6
Imagine you are in law school and your classmates are Muite, Oraro, Kiraitu, Ngatia, Munya, Murkomen, Mutunga, Miguna, Aukot, Mwilu, Karua. How will the fun come? Apart from Githu, PLO na Ahmednasir who can create some semblence of a rave, sioni
 
#7
So sem apo law school ndo inaisha isha.I gotta say it has been disappointing kukaa na my fellow comrades cuz i just cant find the type of friends we can go out,drink n talk about the good, bad n the ugly.Sijui ni vile ni mwanzo tuu ama ni vile kila mtu anajaribu kua na standards ama nini.Most of my buddies ni wale wa IT na mass comm wenye mnaeza ongea ujinga na mkose kumea bila mtu kukuuliza swali.Silalamiki lakini kama ivi ndo itakua for the next 5 yrs mambo haitakua rahisi.Alafu @femaleperspective unasafisha talkers lini
IT gani hii watu hupata time mingi ya kukunywa ivo ? anyway, soma buda usikue wale lawyer wa kulipisha watoto mia tano ku-stamp form za helb
 
Top