Relatives

Why is that baby in a baby car seat over here or is this photoshop

[ATTACH=full]12396[/ATTACH]

2 Likes

Mukienda river kuchota maji unaambiwa saidia huyo kassin ea Nairobi kubeba hiyo kibuyu yake ya 5litres wewe huoni vile amechoka

4 Likes

hehe Life

1 Like

he he

1 Like

:D:D:D:D

Plus their paroz keep disinfecting everythin for their kids with those detto hand washes nkt

I know one whom wakienda ocha they buy the kid chips and sausages hakuli chakula ya shosho ama ugali and the little nigga is five

2 Likes

kwani hao wengine wameoga na simiti

5 Likes

Kama hawangetaka kuwatembelea si wangekaa huko kwao Nairobi. I don’t believe that you should bend over backwards just to make relatives feel comfortable in your home. A relative should feel comfortable visiting and staying in your thatched house kama hataki unamwambia akomboe lodging akalale huko.

2 Likes

I rememba back then ,i had a cuzo who used to live in kariobangi,mi nilikuwa mtu wa ocha ivi so sikuwa na jua kariobangi iko wapi ,is’t an estate etc…Wheneva he came ,he used to go and spend nights to grandma’s place in a special made bed.We were not to share bed with him due to vumbi in our beddings as his mom’s argument.
After primo ,he was enrolled in a nearby sec school huko ocha ,and later his dad go a tip tht i used to visit him of which he ddnt like coz i had been labelled a bad man(bak then). He had to be transferred bak to Nai.
The same cuzo was shot dead near F2 club around 2003 at only 26 yrs and rumours has it tht ,he had stolen a car thou th story was different.Kumbe afta sec jamaa aliwekwa na kimatha fulani and was bought for a Rav4 ,the lad still young,alikuwa anatafuta tudame his agemates wanaenda kurave.
Tht old mama ddnt like that idea n she had to avenge by informing the cops tht ,her car had been stolen and ts been tracked near F2::

1 Like

ati vumbi?:confused::confused: kwani watu wana maringo aina gani, sisi ilikua tukienda ocha tunakaa na shosho kwa jikoni yake na hiyo moshi yote,kulala tunalala na cuzos and in one day u cant differentiate kama sis tumetoka nairobi sababu tumechafuka kama wengine from kucheza na kufuga ngo’mbe na mbuzi

3 Likes

My Cucu had plenty of cows so she would gift us a cow each…mchana unafurahi ati you have cow but at 3pm, mnaambiwa lazima mjifunze kukamua…mnapewa “nguno” ilizaa juzi…at 4am mnaamka nyote mkakamue na mpeleke maziwa “dairy”…in the freaking cold of kinagofu!! by the 2nd day, no one knows difference ya tao na ocha…

6 Likes

:(:(. His parents messed him up. Giving kids preferential treatment in a social environment shields them from reality.

1 Like

Lol ati a special bed.kwani ni pope?

3 Likes

And then they come to the real world out here and wonder what’s wrong with people

1 Like

:D:D:D:D:D:D

sijui nilie, nikupe pole ama vipi…but huyo cuzo wako atleast angeku organize momo

when my grandma was alive we used to spend the day kwake n would only go kwetu usiku kulala. eat her food, graze her goats.

1 Like

sijui kama ni mimi pekeyangu but tukienda kulisha ngombe na mbuzi kuna mixture fulani tulikua tunapikiwa sikumbuki vizuri but maybe it consisted of ngano.unga ya mahindi n sugar ikiiva it used to be hard but sweet crumbs like stfs hio ndo ilikuanga lunch

wapi huko?