Riding trails

Wadau ni wapi apart from Karura mtu anaweza beba bike park gari,ride far and wide then return to the car park bila wasiwasi.Trail za karura ni nimezizoea.

Enda gikuni

Endeshea bike kwa barabara kama mwanaume uzoee kupishana na trailers.

Kikiiii hiyo sitaki tena…kuna siku matatu iki overlapp karibu irushe mimi chini ya bridge.Alikuwa anahoot vibaya nitoka na niko kwa biking lane…wacha nizae kwanza ndio ni take such risks

Uzae? How ohh i understand kumbe ni Kimakia…

Siku ile utawacha umama utafurahi sana…

Kakule nguruwe mboss wachana na mimi

enda kasa stadium (moi international) see many guys riding

Nanyoroshanga izo trails with niceness

Ni ndani ya stadium ama wapi?

OUTSIDE

Unataka trails kwani we ni mzungu. We dont have resources/time to develop trails in kenya.
The advantage ni people in kenya walk, so naturally develop trails by their feet. Na mahali mguu ya binadamu inapita mguu ya bike inaweza pita.
How i discover fun trails to ride.
Assume kuna barabara from point a to point b. Move from point a to b on the tarmac road.
Then ingia a non tarmacked road on your right or left on point b.
Now try to go from point b to point b with the side you choose.

Advantages
You will be discovering new path/roads that have natural challenges.
Nature has a way of telling you the way

Disadvantages
You will probably get lost.
Bike inaweza haribika na maybe huna tools za quick repair.
You may find yourself in unwelcome areas. Nishai jipata kwa kambi ya jeshi, ile physical nilfanyishwa sitai sahau.

Trails angalia youtube.

Too many disadvantages than advantages

Name one common trail though,kama leo naenda kasarani jioni,any other apart from Karura

We have different motivations for riding. You want to ride where you see the comfort of other riders and its tried and tested.
I cant be of help coz hata hio karura, mimi sijabike.

Kwenda kabisa,fala mang’aa na ulikuwa unajibu kwa nini mkundee,shonde ya Atwoli