Risaiko: When kirwa lost his money, shoes, and dignity in a space of a few minutes.

Nilikuwa natoka side za huko buru kajob nilikuwa nafanya ka mjei.Ilikuwa kitu 6 jioni, nikaona jam ilikuwa outering hiyo githaa siwezi panda mat.Nikaamua wacha nikatie kiambio slums nitokee pale raunda ya kariobangi. Mimi huyo teketeke nikiharakisha giza isinipate hizo ma area.
Nilikuwa na thao saba kwa mfuko na tatu kwa ngotha,simu na briefcase yangu ya kubeba tools. Nilipofika pale kwa mto ile hutokea pale raunda,nikaona wasee waine mbele yangu wakienda the same direction na mimi.Stori zao zilikuwa ati vile koroga ilikuwa ngumu.Nikajua hawa ni wenzangu wametoka wera.Nikaongeza spidi kidogo ili niwafikie tupelekane nao.Kuwakaribia the guys divided themuselufu nikaachiwa njia katikati yao. Wueeh nilishikwa kibare ya masikio nikaanguka.Majamaa wakanishika kama kuku inataka kuchinjwa na kuanza kuniperemba. Ile kofi ilifanya nikawa confused juu mimi ndio nilikuwa nawaonyesha zenye zilikuwa kwa ngotha.
After terrorising me for like five minutes,i was told run na nisiangalie nyuma,mimi na ujinga zangu nikawambia wanipatie ID.Jamaa mmoja akaona viatu zangu za CAT,nilikuwa nimebuy thao tatu jo. Nilipigwa sweep,nikiland sikuwa na viatu. Id nikapewa,nikaanza kwenda nikiwa na socks tu. Mmoja wao akatoa viatu zake akanigoga nazo nakuniambia jisort na hizo. Nilicheka kwanza majamaa,kiatu yenyewe sijui Kama walikuwa wamenyanganya shaq,ilkuwa kubwa mbaya.Kuiva mguu yangu ilikuwa inafika katikati. Kutembea ni kama bata patapatapa. Nilifika mtaani wife ananiuliza kwani hizi ni viatu gani umenunua.
Maze wezi Ukipata team building inadeal nao join them.

  • Reproduced with permission from the copyright holder Kirwa.

Hehehe

hekaya timam raunda huwa ngori brathe, but sai hii baro imesaidia wezi wame punguwa, but kitambo unaibiwa hadi self esteem:D:D

Admin, tulisema uweke hall of fame list ya best threads, si mambo na recycle on slow days