River Road

Wale makarao walikua wanashika watu ukitoka lodgo hii area ati prostitution is illegal bado wako?

Enda pale huduma centre pale karibu na nyayo house counter No 17 watakueleza ng’ombe hii.
Brare

Bado wako Mr.kuma

Hii Kijiji leo… Wacha tu

Watoto wa zile malaya @uwesmake @pseudonym na @Phylgee wamekam of age sasa maswali ni ya prostitution dens pekee

Duh

Loitering with intent to prostitute.

 ...Buda, its an offence! :D

Your name betrays you!

hehehe, hii maneno inanikumbusha kuna day nimepitia R/ Road masaa ya 9 pm from classes. kwa hako ka junction ya accra road na riveroad kwa hizo choo za kanjo ndio hao makarau pia wanachapa patrol. Nikaitwa Kiyana kujaa hapa, punde si punde pingu kwa mikono ati loitering with the intent ya kutafuta mapoko. ilibidi nimewachotea soo tano na kuwaambia nimetoka chuo ndio wakaniachilia. Sijawai rudi hio area tangu hiyo siku.

There is nothing illegal in Kenya, ni vile utajitetea.

Niliperembwa ngiri tano huko bila kufikisha threshold huko mimi apana tambua.

Pole had a similar experience after seeing off a relative hapo Spanish Coach

Mimi hao wajinga walinikula thao mbili

:D:D:D:D:D:D

HII TERM niliskia mwisho 1820 kwa ship ya vasco da gama pale cape of good hope

So uliwacha shule?