Nimepewa RKO kwa whatsapp na dem. Sioni nikirecover any time soon unless mnipee recovery options. Damn. Mhenga @syndicate kongrachuleshens
Sasa unajiongelesha kwa maandishi ama unaongea na kijiji. Weka effidence…
12 Likes
screenshot, thermal imagery,heat map, ya RKO
4 Likes
RKO nimepewa deadly
1 Like
Anika uhondo usaidike.
This is what i looked like after the RKO[ATTACH=full]123213[/ATTACH]
1 Like
Weka hata brickgame
5 Likes
afisa siand olwenda
wapi RKO deadliest umewahi kula
I take all RKOs in stride
Wapi ile kali zaidi
Mimi hapana Dr kitoto,weka hekaya complete kama elder tukupe mawaidha.
1 Like
Mchape RKO pia
Ndo hiyo hapo juu
I thought umezoea RKO’s za village…
Juvenile post from a little attention seeking harlot
6 Likes
I would have given a coakroach’s ass if the comment came from another mf but not you.
Huyu jamaa si amepondwa :D:D:D
unataka tukulambe miguu ndio uweke hizo screenshots?
1 Like
Its soooo bad