Road blocks are back!! .

Ice_Cube

Village Chief
#9
tangu lini zikose? nikielekea western the other month nilizipita mob sana, kwanza between Kapsabet and Chavakali nilipata kama tatu, then one at Amalemba just before uingie Kakamega town
 
pamba

Village Sponsor
#11

Hakuna roadblock kutoka Malaba hadi Nairobi, ukiona weka picha na sio ya Kitambo. From moyale to Nairobi ziko Tatu pekee moyale, turbi na isiolo.
 
Ice_Cube

Village Chief
#12
Hakuna roadblock kutoka Malaba hadi Nairobi, ukiona weka picha na sio ya Kitambo. From moyale to Nairobi ziko Tatu pekee moyale, turbi na isiolo.
ya after Kapsabet nilipata ni kama iko abardoned wamewacha spikes kwa njia, I think it was because kulikua kunataka kunyesha. Next time nikielekea nitapiga mbisha. Lakini nilipata wengine between Mago and Mudete and just before Cheptulu
 
pamba

Village Sponsor
#13

Watapata siku murefu mutyambai akipita hapo.
 
Top