Robbery without violence

Your wife goes to a hospital to give birth and wake up with a 1.3M bill:eek:

Consultation fee ksh 350,000
[ATTACH=full]229825[/ATTACH]

Kama she’s too cool to give birth in a public hospital, it means she’s a birrionaire. So kila mtu apambane na hali yake tafasari.
ION, I’m seriously starting to think of investing in a clinic, inakaa huko kuna pesa kama za shetani.

Most clinics & pharmaceutical companies are getting insane profits…(ex.unapata Dawa zinatolewa India na 20bob zinauzwa 500 or more here )

Sikuizi watu huzaa hata kwa clinic ya doctor Joel wa miti shamba

Nope. Hivi ndio pesa ya NHIF huibiwa. That lady might not folk out even a single cent, but kimeibiwo!

Umeshawahi sikia Linda Mama?

http://www.nhif.or.ke/healthinsurance/uploads/lindamama/Linda-Mama-logo.jpg Linda Mama provides a package of basic health services accessed by all in the targeted population on the basis of need and not ability to pay, positioning Kenya on the pathway to Universal Health Coverage ( UHC). A public funded health scheme that will ensure that pregnant women and infants have access to quality and affordable health services. Linda mama’s goal is to “Achieve universal cases to maternal and child health services and contribute to the country’s progress towards UHC”. Download Linda Mama Bochure

This is the reason i decided kupeleka mama azae public hospital after a certain private hosi charged me 250k for CS operation.Nilifunga mzigo,uber chapchap hadi public hosi,nikalipa 11k mtoi alikuwa sawa na ako healthy.Hivo ndio niliponea kuporwa.Ukiwa fala utaibiwa tu juu ya class.Nilipea nurse in charge kitu kidogo na mama akawekewa special care bila kusumbuliwa.Total cost was 11k na nililipa na nhif.My cousin spent 300k pale Nairobi women’s Hospital,too bad mtoi alikufa.Hivo ndivo alipoteza mtoto plus 300k.

First born wengi wanazaliwangwa hosi za ki-fahari.

Me niliamua ka ni mbaya ni mbaya.Kwani iko nini. 250k noma.Hiyo nikiongeza another 250k niko na nyumba ushago.Usikubali kuibiwa mchana

Hehehe nA kwani all this poor singo mathas in nairobi wanazalianga wapi kama maternity ni sijui 250k or 300k?

Hio consultation fee utadhani the doc is negotiating with the baby to come out… @dr.n tunakucheki.

Wahh hiyo yote. Enyewe watu wako na pesa kama uchafu.

Poor single mothers wanazaa Pumwapi,Mama lucy,Kenyatta,mbagathi na hizo small government clinics ziko kwa estate.Normal delivery hucost less kwa hizo public hosis.Pumwani ni 50bob pekee ya kitabu.

Waah, si huko ni ku gamble sana…enyewe ni mungu pekee anachunga maskini hii dunia

I thought this was a prostitute thread

It’s very expensive for a man to give birth

Pewa cratches, no photo therapy for you!

Deposit ya 172,000 ni ya nini?

These days maybe but old guards, we were born in pumwani.