Rolls-Royce Phantom

Presidential limo. Tulikua tunaiita ‘loice loice’
Mimi najiuulisanga hii magari ilipelekwa wapi. Wafungue museum wapatie @introvert makanika wa kijiji kazi ya kuzimaintain na watulipishe entry fees.
Wonder how much it’s worth now.
[ATTACH=full]88964[/ATTACH]

7 Likes

Hii ndio walikua wana.advertise ati…‘at 60miles per hour, the only noise you hear is the sound of the ticking clock…’

8 Likes

kwani alikua na guard mkorino ama huyo ni mkalasinga hapo kando

5 Likes

Lakini hii dunia smh, yani kuna mtu in the 1960s alikua ana roll na Rolls Royce hapa tu kenya. Na wengine wetu hatujawai ona ata moja live live na tuko 2017.

15 Likes

Enda uone ya Qidero

2 Likes

Ni ex gk juu ya mawe saa hii.

Magari kama hizi zingekuwa state house museum by now.

Now president’s car the windows are tinted with a dozens of antennaes.

1 Like

ningependa kujua hiyo gari ilienda wapi

1 Like

Huwezi trust huyu jamaa na gari yako. Atabebesha taxi usiku.

4 Likes

@jimmy_m umeskia hiyo maneno hehehe

Niliona CMC in 90s .the engine had 50yrs garantee

2 Likes

98% of all rolls ever made are in working condition

It was supposed to be airlifted for services to US …as per the workshop manager,even jomos Lincoln continental (convertable) was in same w/shop .

Na saa hii ziko wapi

:D:D:D

Ouch, @introvert njoo ujitetee, are these allegations true?

1 Like

Jamaa anakula prize money ya protègè, mali ya uma ataaminika nayo?

2 Likes

Hapa ni masweep tu

3 Likes

Tint hawakuwa wanatambua

Angalau nimeona ya kidero akijidrive haile Selassie

1 Like

:D:D:D:D
Saitan.