Ropes in buses

Following the North Eastern coach accident…[ATTACH=full]148523[/ATTACH]these are some of the uses in our Kenyan PSV buses[ATTACH=full]148523[/ATTACH][ATTACH=full]148524[/ATTACH][ATTACH=full]148526[/ATTACH][ATTACH=full]148529[/ATTACH][ATTACH=full]148540[/ATTACH]

Wariah ni wajinga, una manage kununua new tyres 25k to 35k but front axle bush ya 5k max unafunga na kamba ya mkonge!

na brake booster moja iko missing and brake pads za mbele zimeisha so the bus inatumia one hind wheels for breaking:D:D:D

I think Psv zinafaa inspection atleast thrice a year.

Damn !

wacha sisal farmers wanukishe kitunguu.

Who will do the inspection?

Hawa watu shida yao ilianza wakati gava wanted to ban rooftop carriers. Waling’oa carriers na wakabaki na kamba. Sasa lazima watafutie hizo kamba kazi.

io kwa kiti I’ve traveled on one with that na after every dpf action impact ilikuwa inafika kwa io kiti…some inertia of some sort…veeeery uncomfortable

Owner probably like …Tumekafunga na kamelala

Mcoondu hii ukijifanya unajua matusi shuka hapa eastleigh uone …gombe

Sasa ukifungiwa kiti ivo utalipa fare yote ama nusu

sasa hiyo kamba ni seatbelt ama nini??

hiyo kamba haiwezi shikilia hiyo joint ya steering,@introvert kuja saidia hapa.

I’m lost for words man.

Most of these vehicles hupewa inspection certificate bila gari kufika NTSA boss.

Same as building inspection. Ni mchezo tu tumejaza Kenya

mimi kila siku nitashinda nikiimba vile Kenya tuna shida. sijui nani alisema tutoke sote, tuingie mmoja mmoja after vetting tuanze afresh.

They never visit the site

Iyo ya kiti mostly happens kwa buses plying the western route, it means kiti is reserved