Rounda

So today as I prepare to head home from offe, ,nimeamua kufunguka kiasi bout the hustle. Yea yea,every1 has his/her story! …back then after ku clear high skul. Kitu Jan ivi got offered a job @a skul in westy! ,solar ya eastlands ilikuwa kali sana n I had to make a change.
Ka job kalianza tu sawa and i had to find a new den near or around westy!!with my mbili onea status nikafit kangemi. I had to relocate to the new area thus agreed with my friend eti ju hizi 1960 ziukataa kubeba mizigo mchana. 'Si tuhame mausiku ivi.
Thanks to being from a boarding skul,nilikuwa na box kubwa!!sa fom ni kungoa speakers kwa mtungi, viatu,nguo kuzipanga fit. Ma blankets zangu siwezi achia hii Fala pia. @around 9pm all is set in the box!!!
Off we went to stage ya sowe,after Kitu 30mins forward travellers tumeingia hadi tao.zetu sa ni kunavigate from OTC to odeon.
Kufika odeon.,kuna Ka niso kanachrome, kidogokidogo mafans washa Changamkia mizigo na kurusha chinI ya back seat.ndani ya niso mtu ni nne nne Ka orbit.
All this time,my mind inachapa vile ntajisort nao that nko tu na kamatress,vile iyo nyt hakuna kudoz form ni kufunga ngoma!!!

Al aah! Nimewekelewa bare,KUMBAAF! !!!NI ME SEMA VICHWA ZOTE CHINI!!mwingine apo mbele ameingiwa mangumi huku akiperembwa na kuulizwa ka ni karau!!,gari ime simama kiasi apo museum hill,dere ashakua abiria. Hizi maumbwa zime ji pin n kumbe walikuwa wamepiga setti ndani mamblaina ka sisi tuingie! ! Sa kijana wenyu huku anasugua ukali wa bare ,wameambiwa kilamtu ainue mkono ka ameshika simu na walet,UKIPATIKANA UMEFICHA CHOCHOTE UTAJUA HIZI SI BONOKO! !makanga ashaanza kufagia zile vitu watu waliangusha chini .sa ma3 in their control ikageuziwa westy rounda n kupelekwa juja Rd.
Thanks to Uhuru, (kale ka chuom tulipelekwa na kulalishwa chini pale rounda ya dando) kali ondolewa with the upgrade of outering Rd.
So sisi tumetolewa kwa mat nkama tuko recruitment ya jeshi huku ukiperembwa na kuambiwa ulale chini kwa mchanga na usiangalie juu.After kushukisha box yangu,fala ikanivua lofer, jacko na mshipi.beste yangu pia tembezwa vitu!!
Majamaa ni kaa walikuwa na gari ingine or they just disappeared kwa hako ka ghetto.

After Kitu ten mins or so watu wakaanza kama, dere akapata keys kwa gari.wacha tuingie na kuenda stenje pangani.
Hii jeans nimevaa ni kubwa kiasi,jamaa yuko mguu tupu alaf tuko hapa kwa OB eti sijui ni statement inaandikishwa! !sasa ka reality kameanza kunigusa. Yaani sasa sina anyother pair ya kiatu/nguo (except zenye nimevaa) na kesho nko job???
Police wakadai watu wapelekwe hadi stage ya ungem then followup the nxt day. Ustake ona vile tulishuka kwa mat na kukanyaga lami ;mikono mfukoni! !
Luckily knew a former skul mate wa hizi area.nkampitia ndio tucheki ka atanisort angalau viatu na ka fare.none could fit, but beshte wa mine akapewa ma slippers flani mix n match(ma sliponz am a? ??).neighbour wa huyu guy akachapiwa rada yetu n a ka ni sort "manglova"thoz viatu with very high heals/soles za white! !!
The nxt week I servived with my ka jeans na manglova,beshte aka rudi area code1960 na the mismatch.

Iza men… hio ni noma

iza man…

I heard something of that sort ua story checks out

iza mblo

pole kaka

:D:DPole sana but Na imagine kutembea Na mangolova for a week.

Manze ilibidi nika dandie kuzo flani over the weekend. Akanisort pair mbili! !fom ilikuwa kuamka magizani n nikitokea works najipa tushugli hadi around 7pm, ndio nitembee hadi westy stage. Couldn’t risk kuonekana na mapotential in my state,colour ya kiatu ni white btw hiyo material iko na patches za brown !

:D:D:D

Uliiskia area za piwa?nwaiz hao majamaa walinirudisha nyuma niaje! Nao I’m gud

Jan 2018?, pole sana

Wah, ni ngori, pole

Zii some 9 or so years ago

Kumbuka sole ni ya white

Kali sana,100 green emojis.

Iza brathee. Inaitwa baptism.

:D:D:D eti mguu tupu na mikono mifukoni, najaribu kupiga hiyo picha, izza jo:D:D

Buda yaani 2009 ulikuwa umesota design hiyo? Mii that time nilikuwa naingiza soo…na…kila mwezi. Anyway iza jo.

Wel nipoa kukubali life ,it must start from smwhere!!

Mboos!tafta jeans kubwa waist kiasi then vaa bila belt ,saa tembea hadi shop…If only hizi CC TV zingekuwa iyo time. Wud hv ordered for the clip yenye inashow tukishuka mat n kunavigate hadi mtaa