Roxy Lounge Utawala

WakuMbwa niko hapa karibu na pool table having a head cleaner. Yule ako karibu akuom apate moja baridi. ukiingia uliza bouncer @majizee ameketi wapi

Nimeingia hapo nikauliza huyo bouncer amevalia blazer ya black majizee ako wapi akanielekeza Kwa jamaa mwingine hapo karibu na passage ya kwenda choo anakunyua tusker cider, ako na pin Kwa mapua na “burnt” hair. Nikajitoa pole pole kwenda kupigia Kimakia simu aje haraka kuna prospects hapa.

Hope mmepatana.

Chieth!

:D.pole.

Umepata @Kimakia akikunywa tusker cider

One of my few offices

Roxy mimi apana tambua.Mimi nakunywa zangu hapa ndani ya GSU training college polepole na crew

Peasant detected. Unakunywa afco beer?

Nani amekuambia mtu akikunywa Afco ni peasant? Kwani umezaliwa leo Majizee

Fobe ya afco ni ya peasants?

Yes. Kama hujui Afmadow ni wapi kunywa na ulipe taxes. Support your country by paying beer taxes. Afco beer bila tax is one of the few benefits we give our brothers in arms.

Nowadays you will find a better crowd at Wallets

MTU ako hapa zingi,nanunua nyoka.

Patriotism itakuua nanii…

it has done so since before 10,000 bc

:D:D:D tiga wana ma yaaooo…wuiguiree fiforiii yanyitana weyeheria hau

Weee mimi.sikunywagi kombe…Utawala iko side gani ya hii Kenya

True.Wallet is fine

Roundi hii utawala iko mbele nilikataa kunua plot huko saa hii napiga tu nduru

Roxy ndo mahali nilienda nikarudi nyumbani na mtu nikamkamua proper

2006 plot ilikuwa inauzwa 50k.Infact hapa penye roxy/naivas imejengwa ilikuwa inauzwa 50-60k.Sai inacheza 1.5million