Rudini Tanzania

Huu ni wito wangu kwa wote wanaosema serikali ya Tz ipo sahihi, sijui TCRA wanasimamia sheria, na wote wanaomsifu mfalme malaika.
Bila hata haya wamekuja ugenii kutetea ya nyumbani kwa kuwa kule nyumbani hata wao hawana pa kuyaongelea hayo.
Hebu kila wakitokeza waambieni warudi tizedi

Naunga mkono hoja!

Hata mimi naunga mkono hoja.

Upinzani ni waoga kweli kweli

Mfalme jiwe

naunga mkono hoja

Kinyume na woga ni machafuko, na nyie kila mkipanda majukwaani mnajifanya kuhibiri amani. Nyie sio waoga lakini hamna forum yenu ya wababe ya kuchangia humo nyumbani. Kama hoja yako sio ya kipuuzi ni nini?

Wewe kweli zuzu, hivi huyu Magufuli na utawala wake wa mabavu ambaye amediriki hata kuizima JF,.ambapo amesababisha tuwe wakimbizi kwenye nchi jirani ya Kenya kwenye hii Kenyatalk, unaupata wapi ujasiri wa kumtetea huyo mtu??

Hii iko tabula rasa kabisa

Jf imefungwa kwa sababu ya siasa, na si kila mwana jf aliyekuwa akichangia kwenye jukwaa la siasa hakuwa akifuatilia majukwaa mengine, lahasha!.
Ndo maana wapo pia na huku kupata madini mengine ambayo wameyamiss.

We tahahira hivi upinzani na kipara ngoto nani muoga?

Huoni kuwa muoga ni yule anayefungua mitandao ili watu wasiseme, ni nini anachoogopa?

Naunga mkono hoja

Itafika wakati hata wanaosifia watashtakiwa kwanini hawampambi vizuri mtandaoni. Hii kitu imekuwa kama dhambi ya ubaguzi, Itawatafuna tu.

Nani kakuambia JPM kazima JF? Na ameizimaje?

Nyie endeleeni kujifanya zapunga ivo ivo. Sasa huku umefikaje wewe mtu?

Well; endeleeni kuamini kuwa waoga wataendelea kuwepo kwa idadi ile ile miaka nenda miaka rudi.
Hakuna mjusi muoga kama mjusi kafiri, lakini hata yeye ukimfukuza sana hugeuka akakarudia. Ikitokea hapo itabidi umkimbie kama unafukuzwa na nyoka. Ni mtu tu mwenye matumaini au uwezo angalau kidogo wa kuwa na mahali pazuri na chakula kizuri zaidi ya kile kinachotolewa jela ndie atakaeogopa polisi na jela. Mtu asiekuwa na mahali pa kulala na asiejua wapi atapata mlo wake ujao hawezi kuogopa jela. ccm hii inachokifanya leo ni kuongeza idadi ya watu ambao wanapoteza kila kitu kiasi kwamba jela kwao itakuwa the best available alternative,

Ikifika idadi fulani ya hao watu Sizonje atakuwa mkimbizi kijiji fulani Rwanda, maana bunduki na vifaru vyote havitashinda nguvu ya hao watu. They will have nothing to lose, except their chains.

!
!
Naunga Mkono Hoja

Kaa kimya kama huna point…
Ccm mmejihesabia haki kiasi kwamba hii nchi mmeifanya ni ya kwenu…
Ngojeni tu subirini…
JIWE ataipenda

Tumekuwa wakimbizi

[SIZE=7][FONT=verdana][COLOR=rgb(184, 49, 47)]Ila kubatizwa - VILLAGER![/FONT][/SIZE]