Ruiru Lokeshen

Niaje wadhau, Friday im going to Ruiru kupatana na dem wa K.U. Sijui bar poa apo. Any referrals? Pia joint ya mlo.

Weak ass niggaz everywhere whats wrong with them? Real alphas don’t accept invites to unknown locations. Utachunishwa kales na uadmitiwe nairobi womens

wrong…some 8 years ago I went to see a KU chic in uthiru and first thing I did, as I always do, was to land in town then ask around for a proper watering hole…after 4 tickets you call the biatch…no need to ask here on social media…you can actually go and start on the bypass before calling her

Kuna Bobs hapo exit 12.

Champion

Either niende ama nitume fare. Na kulipia dem uber mpaka sides zangu ni 1000. You continue taking babes to your keg dungeon

Asante, i asked her na akasema Ruiru ni place boring sana, na sijai fika hizo sides. Lakini i’ll take your advice

Nikutumie hio thao?

Once again hawa in wale antinyita anaenda mambasa raha anauliza aambiwe bahari iko wapi. Bure kabisa.

Enda Laviva

Just go to Laviva ama Greenspot. Greenspot is better in my opinion juu ya nyama choma. Usiende Bobs, hiyo ni ya riff raffs wa hapo Kimbo and GSU guys.

Ruiru Rainbow Resort

Kuna bar Kwa mall hapo Ruiru Karibu na NiBS

I think i’ll visit a couple suggested. Cheers baba

Laviva Timam

Kuna song ya Greek nimekumbuka
https://www.youtube.com/watch?v=C2NBtQHJ6nw

Rainbow Resort is a 4 star hotel.
If you take her there,slice are guaranteed na utamwaga mpaka zambi.
Damage: 15k including accommodation.

SI io ni expe sana. Nimeona rooms ni 5k max. Plus 4k drinks tutameza CLub Laviva, 2k kadhalika

silltop hotel

Kama ni kunguru ipelekwe Oakpoint. Room ni 1k to 2.5k. Pombe na choma timam