Sacco Dividends

@Okiya hebu kuja hapa. Nimepata gigz tatu za sacco wanting to have meetings sato afternoon, to declare returns na watu walipwe dividends alafu wajivinjari. Ile mzito names witheld is declaring a whooping 14% on deposits. Wueh. Kama unajua mtu ako na deposits sacco ya maana mtafute these coming weeks. Na pale NSE insider trading inachoma raia.

Wueh. Impressed na hizi saccos. Hiyo ya 14% iko eldoret

Cytonn ndio mwisho wa maneno…18%

Yetu tulipewa na 13%. Pesa msuri sana.

Watu wanakopa sana, kama hawakopi inamaanisha Hakuna dividends. Uzuri ya Sacco ukiwa member unavet mwenye unasignia loan au mnaform group mnasave aggressively halafu mnasupportiana loans wise. Hii mimi huona inawork sana

Can they really sustain this or after some years, watu wakileta pesa watakuwa wamefunga maofisi

For you earn that kind of interest you have to commit the principal for 3yrs… most ppl are not patient alafu kuna wale watadai it’s a scum but mimi i am on my second year and i intend to roll it over when the 3yrs expire.

Acha ningoje text ya stima sacco

kwani inazaa kama nzige

Jinga siku hizi zinaturusha last time i think walilipa na 10% but nilisikia ni juu Arap Mashamba alikuwa ananyemelea hiyo pesa

Wanapeana 14% sa ii ndio wakamue watu bila lube in 5 years. io ni ile mahindi unarushia kuku, bila yeye kujua jioni atakuwa kitoweo

Yep, mimi nimekula ya miaka mbili… na this time tunapewa na 19%

Constructor unajua ya stima sacco ni ngapi,yaani hao majamaa wanatuficha hadi siku ya mwisho,they give no room for speculations

Nope,

cytonn sacco??

Cytonn products…

which one specifically?

Project notes… minimum amount ni 1m