Sad but true

During this week kitu imefanyika which saddened me kabisa,a young man kitu 19years alipigwa na mob mpaka akakufa juu ya kuiba kwa kiosk masoda na mikate,wenzake walinusurika,.kijana nimejua tangu akiwa mdogo,I wish ningekuwa hapo ningemulipia

Hata wewe labda ungepigwa na uchomwe pia. Such scenes involving mob justice are tricky to handle.

SAA zingine mob inatakiwa iwe lenient kiasi,Huyo kijana alikuwa na time ya kubadilika

Please give me a golden answer to what am about to ask u…alikuwa shiny eye huyo boy?

These are people who have only known one rule in all their lifes, which is hard + work = money, and that the only way to achieve success is by working hard, this is why they show no empathy and severely punish anyone who doesn’t follow that rule and tries to break it.

I find this rule to be quite misleading as there are many instances that state otherwise and isn’t part of theft. because the smarter you are the easier it is to lead a comfortable life

R. I. P to the victim

Definitely, lakini hawa mayouths hawajui ukabila juu hata mother tongue hawajui na alikuwa wa single mother so babake hajulikani ni wa kutoka wapi

Sasa alikuwa anaiba masoda na mikate juu ya njaa ama alikuwa anataka kuuza? Na bado unasema liwe liwalo Ruto?

You’re a failure to the society,you knew this boy for a long time but failed to nurture him .

Sio njaa juu saa zingine alikuwa anaenda squads za bodaboda

Ni wale huwezi kuwaonyesha anything hata kibarua hawataki

And yet, those that steal billions not only from you and your future generations, which leaves them impoverished and hopeless are scott free and elected as your leaders.

There really is something fundamentally wrong in our African (sub-Saharan) socities.

Swanschieth kwani waliongeza tunyanye kwa home,?huonekani hizi streets

Mimi nikiona mob justice huwa napiga corner in the opposite direction. Kitambo kulikuwa na mob justice mwizi alikuwa anapigwa na wasee wa nduthi, na kimbelembele yangu nikaanza kurecord chini ya maji msee mmoja akaona. Wueh! Karibu ninyoroshwe pia.

:D:D:D Making birrions na sisumbui.

Some people cannot be helped, do not harbor any sadness/pity for him. It’s his fate

Kuna mwingine amechomwa huko Kwa kina engiti juu ya kubaka mtoi wa 5 years,how do you enjoy chewing such a kid?

Ni vile a month ago nilikutana na yeye near mahali aliuliwa

Baaaaas asiyefunzwa na mamaye ama babake…

That may have been your chance to say goodbye!

Rape is a big no to me ,iwe adult or a minor, lakini minor huniuma zaidi,nikiwa judge nafunga MTU maisha