~~SAFARI LANGU NAIROBI~~

Safari langu Nairobi juzi kusherehekea krismasi lilikuwa la taaban nakwambia wakuu wangu villejaz. Huku Nairobi Kuna watu wananuka midomo jamani,nilikua nimekaa siti moja na mkaka hivi yaani mdomo wake unatoa hewa kama chemba za vyoo ,kidogo nimuulize mdau hupigagi mswakii, yaani alikua akipumua mpaka nageuza kichwa upande mwingine. Nakwambia nashukuru nimefika DAR nakokwenda maana hali ilikua mbaya aisee

Jamani tupige mswaki,naskia ni fashoni kukosa kupiga mswaki kenya hasa kwa wanaumme. kama una tatizo kamuone daktari wa meno uchunguze meno kaka.

Kwa hayo machache wacha nikuburudishe na picha la Dar es salaam.
[ATTACH=full]77499[/ATTACH] [ATTACH=full]77500[/ATTACH] [ATTACH=full]77502[/ATTACH] [ATTACH=full]77503[/ATTACH]

1 Like

Na hii Dar salama yenu mumesifia sana kaka…next weekendi naenda kumwona dada humo, nimpelekee abdala jicho moja

3 Likes

twakukaribisha lakini mdau usilete kaswende

3 Likes

Kaswende ni kisawe chako…nauliza jamani mbona kuipiga marufuku kimagufuli ile twerking huko Dar?

Bingwa

Bingwa unasumbua sana…unatukera jammani…

2 Likes

Bingwa unasumbua brare meffi

Bingwa punguza ujinga kaka

Mechi ya Tottenham imeisha aje wadau?

Bingwa tena, Huo mkokoi simjui

Meffi you always make your post look as if it’s a competition between Nairobi and Danganyika. When will you grow from this bullchiet?

1 Like

[ATTACH=full]77519[/ATTACH]
[ATTACH=full]77522[/ATTACH]
[ATTACH=full]77523[/ATTACH]
http://edition.cnn.com/2015/02/10/africa/nairobi-africa-intelligent-city/

4 Likes

Hakuna kitu kama safari langu na picha la Dar, for a Tz you’re very poor in swahili

5 Likes

YAAaaawwnnn monday bado!

Si kwa ubaya mdau, tumia twiga huku tz tunao. Ni ule mti wa kusafisha meno vile mababu walivyo Tumia. Mrembo wako husemaje?

Nu ureta mdau we?

2 Likes

Definitely not a Tanzanian. Am a member on Jamii Forums and I know what a Tanzanian write-up looks like.

This guy is not a Tanzanian, not with that Swahili. He is trying too hard! Ati safari langu, chemba za vyoo, hupigagi etc…nice try Binjwa

1 Like

@Mtanzania Magufuli chieth kwani ulipewa Bondi? Utarudishwa rumande hivi karibuni tu…

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D safari langu

1 Like

One more from Binjwa Scrotum.