safaricom bundles mwitu

nani bado ako na codes ka mimi

ka hiyo

i mean hiyo

1 Like

mbona unatuuliza na uko nazo?

2 Likes

its always good to knw u have partners in crime

1 Like

Usituringie, pea sisi

hauko pekeyako

unakumbuka ule jamaa aliandika suicide note akaweka online??

2 Likes

Chezea chini mjamaa :smiley:

[ATTACH=full]13726[/ATTACH]

3 Likes

nmeona tuko kadhaa hehe

fucking thieves

gawa tafadhali…nani mwingine anakimbishwa na hizi calling rates za safcom ndio upate bonus…na bado sihami

mtu mimi anishow vile unaweza weka mara mbili hehehe

iyo yako ni ngori sieeet but siongeangi na watu mimi

haha mara mbili huwezi… labda u interfere na simcard

haha zile days za kutuma code na text nilikua namake 1500 kila siku

haha ngori kwako, siku hizi itabidi ukule kachuma

si unichanue hiyo story bana

hahaha

si uko na samsung?

o_Oo_Ona new villager asi ni inbox