Safaricom customer care job

#1
Anyone in this kijiji who knows what net they earn when starting.
Nimeona mahali ati ni 35k.dunmo if ni gross au wat?
Allowances?

Naskia iko kazi 300 zinakuja.
 

MISCHIEF

Village Elder
#17
Kuna customer care nilikatia sometimes back alikua anfanya na ile number ya kutetea haki za watoto.....nilikua nikitaka kumpigia nacall io number:D
 

kwido

Village Elder
#19
Niko na relative amefanya BCom (marketing) UoN na hawezi mind hui job. Zikitokea naweza toa kakitu apate hiyo job...any villagerr. With connections?
 

Top