Safaricom fibre internet throttling.

For the past week ni kama Saf Wana throttle internet usiku. Ikifika hapo 11, android TV haiwezi stream kitu mpaka YouTube. But weirdly Kwa phone, inakubali but unaona iko slow. Nani amepata shida kama hii?

Why not use the phone kama hotspot.

Yes and when i do speed test i get 40Mbps, i think they slow down sites with most traffic

Can you hotspot on your phone when wifi is on? I don’t think so, although I may be wrong

Yes, at least on my Mi 9T Pro I can. But I think all Android 10 devices can. Ata Windows 10 allows you to create hotspot while still using Wifi.

Sidhani akifanya ivo kuna any benefit atapata. A slow internet is a slow internet. But in case of throttling he can try using a VPN.

Unless its a geniune VPN hii ingine free download husaidia kunyonga net saidi

This is like milking a hen

You are right… It isnt possible

Acha uongo umbwer… There is no way that can work… Kwani io simu umejiundia??

:D:D:D What do I stand to gain by lying about such mate? I even tested before commenting. Nashuku umejaribu na yako ikakataa ama? Ni infinix? :D:D:D

Ndio hio… Ghaseer :D:D:D

[ATTACH=full]347871[/ATTACH]

Wacha ata mimi njaribu na hii iphone S10 yangu nione kama itawesa

It is becoming next to useless… having the same problem with buffering on YouTube

Having the same problem!! Constant YouTube buffering!

Sijajaribu… Ni vile najua it cant work

Nitarudi soko banae… Inakaa watu wa China mnaendelea sana… Sisi Bill Gates anatupeleka tu mdogo… Natumia Lumia Microsoft

Wifi bridging is real [ATTACH=full]347904[/ATTACH]

Ndio @ilonMask anatutisha apa badala atwambie tu ni feature mpya imetoka Wuhan

Tunaijua… Hahahahaa

:D:D ata microsoft have implemented it on windows 10. Next to network icon (after clicking on it) kuna “hotspot.”

Kwa Windows 10 hakuna io bridging… Hotspot itafanya ukiwa na Cellular ama Ethernet