Safaricom have suspended provision of their google play pass data, so wale mlikuwa mna enjoy free Internet, itabidi mmeanza kubuy bundles tena… and on Twitter they are asking people to DM their number so they can “check it out” for you…
Kulipa ushuru ni kujitegemea…
Cha bwere huisha
Kaka ile maneno si bado nangojea pale inbox
Pale playstore hizo mbs bado zinafanya mse
wanaambia watu wa inbox number zao, then they refund you iyo credo… iyo story ya Google play pass imeisha ivo
hebu sasa mtafute open ports and domains pale telkom. Hiyo free watsapp lazama kuna venye mse anaweza penetrate
Wacha niwaambie wanirudishie bas