Uku nikubaya hakuna connections inatokea
Installation is 100% free
walibandilisha ni 3500 siku hizi
Haukupata memo
Sikujua banae… Enzi zetu ilikuwa free
Safaricom is a abusing it’s market dominance. Sadly Zuku wako na mashida zao.
wanajaribu kukazia mahasla resellers