Safaricom is hellbent on milking peasants dry

Naskia kuna gas ya Safaricom inacontroliwa via Mpesa. Na usipoweka pesa haupiki :D:D:D
This comes on the heels of Mshwari, Fuliza, Lipa Mdogo Mdogo, and M-KOPA solar. Yaani hii kitu inakupimia gas vile Kenya Power hupima tokens. @BBIsiMuhimu and other super peasants are already complaining that hii gas inaisha haraka kushinda “ile ya kawaida.” Lakiniiiii, knowing Safaricom and the way they mercilessly steal data and airtime, what did they expecti?

https://www.youtube.com/watch?v=dS7FVuwV75I

https://www.youtube.com/watch?v=R_I4yCMArnk

:stuck_out_tongue: they just keep fucking us up

Safaricon…i have never understood the concept of expiring bundles…it’s like when you buy the bundles you pay the full amount for them but Safaricom just “leases” it to you for a period of time…if you don’t use it they take it away…yep the bundle you purchased that is supposed to be yours is taken away without refunds.

Been around for a year

[MEDIA=twitter]1216780080795594753[/MEDIA]

Do other countries telcos do this? ama ni huku kenya tu

Common practice the world over. You’re paying for a service based on a time/usage matrix. Safaricom is not a telecommunication company but a service company.

Ni kama hoteli. Technically you have paid to sit in their hotel all day but they’ll probably kick you out if you spend hours occupying their chair. They sell a service that is time sensitive. Their bills are always piling on whether you’re buying bundles or not. They need to make sure you’re constantly feeding them money. Even their airtime cards have an expiry period. If you don’t use any of their services for a given period, your line number goes back into rotation.

Ambia hivo brookside pia.

umbwa enda kortini kama imekuuma si kulia lia kila siku kama malaya

A fully kitted meko costs kedo 2,500 bob. Na kupata refill si hoja. Whoever goes to m-gas where asipolipa hapiki amejipeleka kichinjio peke yake. Arelax huko in peace.

Do they come and take back their milk if you don’t consume them? Wewe ngojea thread za Malaya useme ile pesa unaweza toa… ghaseer.

Wewe vile bibi hukupiga umeenda kortini mara ngapi? Malaya mzee wewe.

Other telcos do it as well, it is only recently that some like MTN have started introducing bundles without expiry.

Hio lipa mdogo mdogo nimerealise ni get one for the price of two.
Safcon inakula watu huku mashambani vibaya sana…100% profit margin on each outdated handset…villager anapata smartphone hajui about updates…halafu hata kutunza smartphone ni balaa…after 3 months inakaa nikama amekua nayo 10 years.
Halafu unapata jamaa akona piki piki ya kulipa 300 a day, sijui taa ya solar d light 50 a day, hio simu ya kopa 50 a day jamaa pia labda akona loan ya mshwari na bado hujalisha familia.
Unaamkanga asubuhi kama umejam…hii maneno ya uchumi ya kulipa mos mos inafilisi vijana.

Vijana na wababa na wamama hata ma ajusa.

Hire purchase has been rebaptised na watu wanakimbilia as if ni kitu mzuri mpya. Someone struggles to get cash to live decently. But because he has seen a neighbour with tv he goes to get hiyo sijui mkopa tv. Ati because its “affordable”, ati 50 bob per day is not that expensive…

[ATTACH=full]369973[/ATTACH]

Leta hekaya.

safaricom saasa karibu waanze kuuza KDF

:D:D:D

Captain shoga naona ni kama unachoka. Usually I get 5 notifications leo ni kamoja tu. Mzee last year ulikuwa na bidii hadi unaweka thread mzima kunihusu :D:D
Au baridi ndio inaumiza your arthritis fingers hadi typing umeshindwa?

:D:D:D:D:D