Safaricom vs JTL Faiba Business Hindanet

Wadau nauliseko namna hifi…kati ya Safaricom fibre business na ile ya Mbugua ni gani superior in terms of speed & reliability?

[SIZE=1]Na mnijibu haraka kabla sijakasirika. Sandeni [/SIZE]

Speed ziko karibu sawa. Nimepata speed ya 28Mbps kwa safcom na 20 kwa Faiba.

Ikifika kwa reliability Safcom kicks the shit out of every one else.

Sijakuelewa hapo hebu rudia. Hapa ndo unasikianga Omo ya Ariel

Faiba bro

Faiba utajikojolea.

Enda Safcon buana. expensive but 100% reliable

Schupit, as if Faiba invented fibre.

Mbugua ni supplier ya safaricom but they decided to do some retail side biz.That means they are cheaper. However, safaricom is much better in handling complications whenever they arise.

[SIZE=1]Ng’ombe [/SIZE][SIZE=4]Jimit unasumbua [/SIZE]

Yeah am actually migrating from Mbugua to Safcom but kwangu wameniserve vizuri sana for a very long time

@M-Pesa

Safcom ni reliable though you will cough up more than ukitumia Mbugua

Himselefu

[SIZE=1]difference ya home fibre na business hua nini [/SIZE][SIZE=4] im dumb:D elimisha mimi[/SIZE]

Enyewe you are dumb:D:D na ntakujibu na swali…What is the difference between a KPLC domestic consumer(read homes/residences) and a commercial consumer(read businesses)

Sijui:D sasa jibu swali zote

Brare mosienz :D:D:D

It depends on the location. There are areas where Safaricom home fibre has a lot of traffic causing slow speed. There are also locations where Faiba JTL is unreliable (i.e Kasarani).

However, I prefer Faiba JTL ten times over Safaricom until otherwise.

Thirii fes