Juzi wamenitumia sms ati dividends zangu zitaingia kwa mpesa but wadau mpaka saa hii saa sita ya usiku sijapata message ya mpesa nifanye aje ? kama kuna lawyer anaweza fanya kazi probono ani contact tuwarushie subpoena anaglau tutagawanya hizo pesa since shares zangu ni mob sanaaa . sandeni