Safe Gas

Kuwa msee informed, ni poa. Lakini hii kitu inaitwa safegas. Nimekuwa nikitaka kuibuy na nashindwa mtu amebuy? Mazuri?

Nunua progas.

Wako sawa.

Is it legal to use propane for cooking in Kenya?

unayo? Was the cost worth it?

Yeah, Its what we use locally. Hio price ya hio mtungi ndio tu hunishindisha

You are wrong.
Most of the gas in use domestically is Methane.
Propane has a higher burning temperature and that’s why I was musing if it’s legal to use in cooking.

Safegas 13kg cylinder + gas ni around 11-13k…depending on where you buy.

Gas ni gas. Tofauti ni weight.

Interesting story:
Kuna mama, that I know, who use gas to milk her husband. Whenever SACCO inadai pesa ya chama, anamwambia bwana gas imeisha. And, you cannot live without gas. And, men never check kama gas imeisha. But, it seems to have worked for over 6 months. Now that Progas is 13,000 sioni akiwa na shida.

na ku refill?

wacha nikuoe,hutakuwa na haja ya kunidanganya,pesa nitakua nikikupatia freely

Hawa ndio watu walidrop chemistry form 1.

Why should I get married: Saa hii (for 5 years) I have been waiting for my ngurario, ruracio. Nitangojea, my ‘spouse’ exceeds my expectations.

ku refill ni 2k for a 13kg cylinder…

don’t waste you time honey,ruracio naweza lipa hata kesho

Da hell???
No!!
LPG is NOT Methane!!!
Hakuna Methane inatumiwa Kenya, unless ni Biogas!!!
LPG in Kenya is a mix of Butane(70%) and Propane(30%).We do not import LNG in Kenya.

How do you even get pure propane in Kenya??? Hatuwezi kupa!! Propane is not good for our weather!!

That’s the way! Danganya ruracio nî rûcio!

That’s the way! Danganya rûracio nî rûcio