Safisheni macho na huyu polisi.

Madhara ya kuangalia video za ngono. Nikinukuu JF:

1.Kuangalia sana video za ngono hukufanya ushindwe kusisimuliwa na mwanamke au mwanaume wa kawaida, video za ngono zina wanawake na wanaume wazuri sana ambao wako vile sababu ya kufanyiwa upasuaji mbalimbali wa kuongeza makalio na matiti, hata wanaume hufanyiwa upasuaji wa kuongeza uume hivyo mwanamke anayeangalia atatamani uume mkubwa kama ule au mwanaume anayeangalia atatamani mwanamke kama yule ambaye katika mazingira ya kawaida hayupo. Yabidi umfikirie porn star ili ukohoe

2.Kujichua au kupiga punyeto sana

3.Kushindwa kudumu kwenye mahusiano

4.Kuanza kufanya ngono ambazo sio za kawaida kama vile ushoga, usagaji, au mwanamke kulala na wanaume zaidi ya mmoja au mwanaume kulala na wanawake zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.

[ATTACH=full]176299[/ATTACH]

nyuma iko sawa, jee mbele.

Hahahaha

Inasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

Tii sheria bila shurti

huyu akija kukukamata huwez ht kubishana nae, unaenda kilain kbs