Salaam Aleikum, Nani amelala kwa Jam

Bado imeshika mbaya sana, all because a single digit IQ bonobo decided to block the truck lane at the weighbridge, from 2pm jana to saa hii na hakuna matumaini, this road should be declared a national disaster.

[ATTACH=full]251947[/ATTACH][ATTACH=full]251949[/ATTACH][ATTACH=full]251950[/ATTACH]
To avoid Gilgil mess if going to Nakuru, use the Njabini-Ol kalau- Lanet route. Coming from Nakuru, branch off at Laney to Olkalau - Njabini flyover
hapa mtu anaweza nukisha kitunguu mbaya
ningelikua makanika nachukua nduthi iwe thermos, nabeba mitungi kadhaa ya petrol na diesel, gari nyingi zimekata ngataa
pia unaweza uza chai, mandazi na mikate, maji, tissue na sanitary pads. ziliwalikua wamejibebea zimeisha.
almost forgot, kuja pia na generator na extensions kaa mia uchargie watu simu, thank me later

I told you only single digit IQ bonobos can block a one way road by overlapping.

Hapa unapark gari kikopey. Unachukua nduthi mpaka JKIA. unaenda KSM na Jambojet

sasa niweke msedes kwa mfuko nitembee hadi kikopey nipark hapo?
go drunk you home

:D:D:D thinking like a real birrionaire nursing hangover from cheap kariobangi liquor.

Traffic police need to engage drones in such situations. Drone fitted with a loud speaker to give instructions to drivers remotely. Ama walete chopper kusaidia kufungua hii jam, it is the best option to identify knots in the gridlock.

Ni driver tu mmoja alianza hii maneno yote yaani

nawewe umefikiria kaa peasant, ati Kenya police walete nini?
hehe

no, ni jinga za weighbridge kublock trucks from using their lane
sikulala njaa
[ATTACH=full]251964[/ATTACH]

this is a good thing that can only happen in Singapore. kenya wacha tu

chopper ya @x-trail imefika

so what’s the plan after? that jam ni soo sana.

meria kwani leo muarabu amekupatia helicopter?

The weighbridge should be removed completely

Ametuma Mutheu kunijulia hali

Avoid that kasecshen any Friday.

Na any long weekend toka mapema kabla ile mraia ya mark x, 318, Subaru… watoke Nairobi around 10. Hawa ndio overlappers wabaya zaidi
Ama kuna mtu anatafuta support for the toll road?

Uhuru alipita hapo jana na chopper zake mbili, hapana tambua peasants, watu wapange straight line. hapana jifungia kwa barabara na mnalia lia. Ata ivo watu wa weighbridge ni takataka

that weighbridge should have its diversion 3 or so kilometres away and itself should be 3 or so kilometres beside where it is now. then on the exit end, after 3 kilometres of driving, you join the highway.

Niko helicopter juu wa peasants

[MEDIA=twitter]1157531451212128256[/MEDIA]