Salgaa aftermath. Stupid solutions

Please tell that transport CS banning vehicles at night is an empty solution. We are a 24 hour economy. Shida sio gari. Shida ni dereva.
Punish offenders who survive, and the sacco to an extent( a fine maybe so that they tame their drivers internally)
Hii mambo ya night ban ni upuzi in my opinion. It is ignoring the problem. Ama hizi bus zinafika usiku zinakuwa wazimu by themselves? Halafu accident za mchana? Solution ni gani?

Nah man,shisha and plastic bags are more important to deal with.human lives don’t mean sheet.our govt is a big deek thats aimed to fwack every body up

Si wahamishe barabara hapo. Ama wajenge ukuta such a way that hakuna gari inaeza overtake

Knee jerk solution…

Wa ban kutravel

Hii ban itaenda kwa courts na itakuwa lifted. It has been effected before like 2 or 3 times ikiwa lifted. Gari haina shida. Shida na ule dereva wazimu anakataa kudim lights, shida ni ule dereva hawezi ngoja njia iwe clear to overtake. Shida ni ule dereva haangalii brakes, tires na vitu kama hizo kwa gari. Shida ni dereva.
Hata tukisema coruption ikuwe curbed hypothetically, bado gari itamaliza watu juu dereva ni wazimu kwa wheel

@FieldMarshal CouchP amesema msipande basi zina madereva kama hao.Stupid old man

@spear hii serekali yenu imezidi na solutions za kijinga

Fuck you bingwa and happy new year

Mkubwa huyu mkubwa mdogo Mailu ameinsurbordinate Uhuru ju ya ile ban ya shisha given that Uhuru ni patron wa mayoutman

:cool::cool::cool:

I think that it’s negligence. Someone here said that hino vehicles have brake problems.

Don’t breed ferkin’ inbreed

It’s so unfortunate juu nilipita place fulani yenye iko infested na shiny eye,… nikaskia wakiblame Rao ati ako on blood spree mission… wengine wakadai ati wanashuku Ruto juu bibi alionekana hiyo maeneo maombi…now that wanataka presidency 2022

But mimi naamini ile dick measuring contest yenye huwa huku between villagers…ndio huwa huko kwa barabara btw drivers…e.g dere wa scania anadharau msee ako na Nissan diesel… forgetting that zote ni beast zikiamua kufunguka…ama wale wako na small machines…RIP waadhiriwa

When two people are killed by Al saitan we spent billions buying useless apcs and security cameras. If accidents keep happening at the same location why not use a few resources to redisign the road?

Io solution Ni kana corking the anus with a maize comb just because of a diarrhea…

Fair enough to religion, wanaamini kuna shetani hapo. I will not argue because vitu zinahappen hapo ni very wierd. But sioni kama tukiombea bara bara itasolve anything if we still have reckless drivers and unroadworthy vehicles

I think you should go to salgaa na uone hiyo bara bara. Ni barabara poa sana. Haina shida in my opinion. No redesign needed

The road is too narrow in regards to the traffic flow and worst still most accidents are due to other traffic parked by the roadside giving an impression of swerving once you get to the spot,an accident is imminent if an on coming truck is blazing downhillhttps://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSoCR1LP-l6UqKNqW04X9OX1Lx_ivEst-MSkAhZgtqXTUx1xLtq6w
http://epg.modot.org/files/6/6e/620.2_Examples_of_Four-Lane_Undivided%2C_Two-Way_Marking_Applications_(MUTCD_Fig._3B-2).gif solution
Anyhu hii ni kenya,the southern bypass was meant to be a dual carriage but someone thought otherwise,now,a yaris cant overtake a passo if a nduthi is oncoming on the right.but its cool you just have to adapt.kenya ain’t going nowhere

Gari za Mombasa ziko barabarani kama kawaida.

I like that idea. Very logical
But a redesign should then come with improved driver mentality.
Improved driver mentality, a dual carriage way plus a cheaper train network to reduce traffic on the road will go a long way in solving this issue of road carnage. But hii kitambo serikali ikubali itakuwa miaka. For now fastest way ni taming rogue drivers