• Update: Movement within the Nairobi Metropolitan Area is permitted except for the national curfew period of between 7pm and 5am. What is prohibited is the movement IN and OUT of the Gazetted areas for the period of 21 days effective 7.00pm tonight 6th April 2020!

Salon

Appleman

Senior Villager
#1
Hekaya!! hekaya!!. Yoo!! @micmays leta kanga kwanza hawa wanakijiji wafunge then waketi kitako hapa kwa salon, @kush yule mnono, kuna kanga size mingi itisha XXL ok:D:D:D.
Storo iko ivi, there is this guy wamekuwa kwa relationship with a certain lady 4 an year now, wanakaa in different estates so the chile usually visits from time to time. last week huyu dem alikuja kuvisit akakaa 4 four days, mchamaa alikuwa anatoka job anapata keja ni safi, laundry iko washed n ironed, chores hapa na pale ziko neatly done, after kula dinner anachangamkia dinner yake afterwards bila nyef nyef.
Come the last day dem aliamka around 5am kumalizia chores at around 6 akaamsha mseh..nipe simu yako nitumie kidogo. Jamaa aka oblige. After a short while mseh akarealize keja imenyamaza sana coz huyu dem anapenda kuskiza ngoma sana on blast, kutoka kwa bed akapata mwanamke haonekani kejani.
After kujiprepare dio aende job, mseh akarealize laptop ya kazi haiko, tablets nazo hazionekani, jamaa akaanza kupanic ikabidi aombe neighbor simu apigie dem ajue nn kinaendelea. Ni mm nimechukua izo vitu zote dem akamshow, na mahasira jamaa akaenda kupiga ripoti kwa makarao. Afande hapo kwa OB akaamua kupigia dem simu adhibitishe, dem hakukataa amechukua mali, akasema huyo jamaa tangu wapatane hajawai mrushia hela yoyote na yeye anakujanga kwake anamfanyia chores zote za nyumba na kulala na yy, sasa dem akadai amejilipa na hizo bidhaa. Cost ya izo vitu ilikuwa around 300k, laptop, 3 tablets na simu.
As we speak ii kesi iko mahakamani. There u have it, some women r nuts!!
 

Top