Samsung Kamenuka

https://www.youtube.com/watch?v=OfM0GqsIB6c

Battery zao zinafurafura kama madathi na watu wengi wamenotice. They collected the initial phones na wakanyamazia, sasa zingine zinafura na influenzas wamenotice pia. Mraiyaa pia wanaweka thread vile battery zao zinafura. Kule America they’ve been buying older phones for between 800-1000USD huku vumbistan wananunua?

Waah hii S22 Ultra yangu kumbe naelekea pabaya?

Wako wapi ni peleke hii Samsung yangu

Nunueni Tekno hainanga hii upussy

Sigwes shika hizo mabati tekcieth na inficieth, mwisho wangu ni Naomi na humo mapenzi ilikwisa. Wapi his Highness, Ruler of the 7 mobile kingdoms, defender of the smartphone realm @Nyamgondho , mtukufu leta maoni.

Infinix iko standard haisumbui

The recent heatwave pale Europe ma Samsung zilikuwa zinapop ka popcorn.

Interestingly, tech reviewers kwa shelves zao ni Samsung pekee ndo zilikuwa affected all other brands were fine. Some even reported screen damage.
Indeed Samsung will never change

Na hawataki kurudishia YouTuber simu zake ni kunyamaza tu

Sasa sisi birrioneas tununue simu gani na hatuwezi kununua hizi takataka za China?

I was never a Samsung fan from the get-go. I have put a lot of negative comment on their phones on this forum for years. But now I am defender of their phones because they have single-handedly brought back respect to android phones. I still think that Samsung is way better than most if not all android phones out there. I will be following up this discussion on the interwebs. Thanks for summoning me. And thanks @Ngimanene na matharo for bringing this issue to light. The Nyamgondho has taken note.

Go forth ye @Nyamgondho the great Android realm defender, and bring back reports from your brave travels into the vast greatlands of the interwebs.

Shikilia iPhone mkuu uondokee za peasants

Jerry amesema lifespan ya battery ya Samsung ni 5yrs, it’s written on the battery.

Seconded.
Very repair friendly.

Hata niliona hii ya youtube jana infuencer akisema kwa simu zake zote ana review samsung zote ziko na issue ya kufur batts. Akauliza msee mwingine wa kurepair akasema amenotice ni hizo clips za batt ndio ziko na shida. Akasema ukipata imefura batt usijaribu kucharge simu italipuka. Sasa mimi pan tambua chai knees phones najua Samsung tu nifanye je?

Nimekuwa na iPhones kwa miaka kumi na kati ya hiyo miaka kuna tatu zilifura hivyo kama samsung . Niligundua fast chargers zinasababisha hiyo shida na pia kutumia simu ukiwa umeweka kwa charger ni hatari sana. Hiyo shida iliisha niliponunua charger na cable genuine na pia charger iwe na rating simu imeandikwa kwa box original.
Counterfeits ndio shida kubwa sana.
La mwisho simu refurbished pia huwa na hii shida maanake battery zinazowekwa sio original.

Nokia for Life.

Siku ziko na bands za dunia mzima, World phones.

People say Nokia hangs yet I have been using my device for 2 Years now nasijawahi ona hizo ma freezes

Samsung wabaki Tu kwa screens

Nokia za hii time ni glorified cheap mikebe na hiyo ni proven, afadhali Motorola. 2 years ni minimum time to gloat about na kuna iPhones/Samsung hukaa even 5yrs, hata Naomi nimekuwa nayo over 2years. Nokia fell off hard wamebaki kutengeza simu za mapeasant India, hakuna innovation hata moja banae hio miaka yote. Camera tech, processor, design? Hata fast charging bwana?

Which nokia are you using mdau? 3310 yangu bado iko gangari