samsung s8

2 month sago milikuwa na Samsung S8 (High Copy)…Nilibuy kwa shop 8k nikidhani nimeangukia kumbe mimi ndio niliangukiwa.

But niliunda jina mtaani juu ya hiyo phone. Kuko hivi.

Nilikuwa nikipita nayo kwa maboys,nickname ilikuwa *Cousin Ya BuzekiSema kuvuma mtaaani to be the only boy who own Samsung Galaxy S8 which has the highest price (55,700Ksh)yenye ukiuza unanunua.
Nikawa kashenzi nikaanza Habit ya kuweka Alarm ya 5mins nikijua kuwa nikifika kwa mabeshte wenye awajaona,itaanza alafu nikatoe inche nijifanye napigiwasema kuchuna mtaani bro.

Hakuna mwenye angefikia level yangu that time mwenye angebishana price ya hiyo phone nilikuwa na Google alafu nawaonyesha…
Nikawa na mazoea,Boy flani from no wear akasema ati ako na Series anataka nimsaidie phone azitume ndani alafu atachukua hizo Vida kesho yake…Ujinga nikakubali nikijichocha ati hiko na internal 64Gb Internal memory.
Wakaanza kuweka hizo Series (IF Loving you Is wrong) na moja iko na size 340mb.
Wliweka mbili tu simu ikasema not enough space please delete some item‍♂na ati ni 64Gb kumbe the real ni 681mb.

Last time I did this stunt was in 1999 nikitoka class hapo nyerere rd lecture halls Nikiwa na Siemens ya flap. Kwa hivo Mkamba, tuliza

:D:D:D

Omwami, kwani ulisomea YWCA?

no

And here i thought ni polisi pekee wako na IQ kama ya kuku

A clear indication that you’re uninformed and stupid

:eek::D:D:D:D:D:D:D
Io njaro ya kueka alarm nimesikia na wewe.

do people floss using mobile phones?

At some place with the boys we met woria selling high end phones. Wacha customers waanze orders na ma mpesa. I asked my jamaas pole pole. S6 pale safcon in bei gani? Huyu jamaa ako na backpack anahawk bei gani? Wacha tuseme hiyo Siku in kunywa tu na yes kungurus.

your dick is short

your mom is a hoe

…but very large.

shut the fuck up potato dicked nigga

…glad to be fucking your emotions right now. :smiley:

Hehehe…pole for the confusion…i was the tisha

You must’ve been born on the highway, because that’s where most accidents happen.

No. Stella Awinja.

Mimi nina s8 and I prefer my old phone tbh. I realized simu kama ni kutext na ktalk upgrading is just vanity

https://www.youtube.com/watch?v=U5mhFcbTBhw
Well you might find this interesting.