• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

San Fan Thomas - No'Haa -- Ehh Nduma kula kula nduma kesho chuo.......

Tom Bayeye

Village Chief
#5
Anyone remember that Music Time hit??
Eee nduma kula kula nduma....kula kula nduma kesho chuooooooo!!!!!!

Umefanya nikafukuzwa mkutano boss.nimeambiwa kama chama ni funny hivyo nitafute ingine.saa hii nacheka na niko sober watchie anapanga vile ataniondoa venue juu anaona niko na kichaa.you got me there next time weka NSFW priss
 

Top